State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa NBC

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Timu ya Mlandege wakabidhiwa Fedha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimkabidhi fedha tasilim za KitanzaniaMillioni Thalathini na Tano Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mlandege Nd.Ali Khatib Dai,ambapo Timu hiyo inatarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia .