State House Blog

Hafla ya kumuaapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla , baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zito Kabwe, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Dk.Hussein Mwinyi mgeni rasmin taarabu ya kumpongeza.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika jana usiki 5/12/2020 na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid
  • BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakijumuika katika taarab huiyo wakati Kikundi cha Culture kikitowa burudani kwa wimbo wake “Mpewa hapokonyeki” ikiimbwa na Msanii Bi.Mgeni Khamis, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaryam Mwinyi na (kushoto kwake) Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna wakijumuika katika Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakijumuika na Wananchi katika hafla hiyo wakati Msanii wa Kikundi cha Zanzibar Big Star Tahir Khamis akiimba wimbo wa “ Warewarew CCM” katika hafla hiyo iliofanyika jana usku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakiul Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake ) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe Asha Abdalla Juma (kulia kwake) wakienda kutunza katika hafla ya Taarab rasmin ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na kutowa salamu za pongezi kwa Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo ya Taarab rasmin iliofanyika jana usiku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum iliofanyika jana usiku 5/12/2020.
  • BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Chama na Wananchi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akitowa Salamu za NMB na kumpongeza Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Taarab Maalum iliandaliwa na Benki ya NMB katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza Rais iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum ilifanyika jana usiku 5/12/2020

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwiny katika mkutano na Wafanya Biashara Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga wakati alipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hotuba yake kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar ili kujua kero mbali mbali zinazowakabili katika uendeshaji wa Biashara zao nchini
  • Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali wakisikiliza mada zilizotolewa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza mazungumzo ya pamoja na Wafanyabishara wa Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar wakiwepo Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (watatu kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa tatu kushoto) pamoja na Viongizi wengine
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga,Kaimu Mwenyekiti wa ZNCC Nd.Ali Amour na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga,Kaimu Mwenyekiti wa ZNCC Nd.Ali Amour na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
  • Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali wakisikiliza mada zilizotolewa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Mwinyi amejumuika na waumoni wa dini ya kiislam katika Sala ya Ijumaa

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Mudathir, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Omar Saleh Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar

Dk. Hussein Mwinyi amewaapisha Wakuu wa Mikoa aliowateua hivi karibuni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora.Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed, wakifuatilia hafla ya uapishaji wa Wakuu wa Mikoa walioteuliwa hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wapya,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020.
  • WAKUU wa Wilaya na Wanafamilia wakifuatila hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa wa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika leo 3/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba aliyemteua hivi karibu Mhe.Mattar Zahor Masoud, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba aliyemteua hivi karibuni Mhe Salama Mbarouk Khatib, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 3/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba aliyemteua hivi karibuni Mhe Salama Mbarouk Khatib, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 3/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe. Rashid Hadidu Rashid, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 3/12 /2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wa Zanzibar katika hafla iliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020

  • WAKUU wa Mikoa Wapya wa Zanzibar wakifuatili kwa makini hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020.
  • WA KWANZA kutoka kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wa Zanzibar aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.