State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ahutubia Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.zilizofanyika katika ukumbi huo leo 26-6-2021
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar.Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizunguma katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani,zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wananchi na Wanafunzi wakifuatilia hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi na Wanafunzi wakifuatilia hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MWAKILISHI wa Waliopata Nafuu kutoka (Recovery Community Zanzibar) Ndg. Mikidadi Said Kassim akizungumza na kutowa salamu za waliopata nafuu na kuacha matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar, wakati Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • VIJANA wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • VIJANA wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliuwateua hivi karibu.

  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati yake ya kiapo Bw. Abdalla Mzee Abdalla, baada ya kumaliza kumuapisha kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw. Abdalla Mzee Abdalla kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw. Abdalla Mzee Abdalla kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa Serikali wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kuwapishwa Viongozi aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Hati yake ya kiapo Bw.Asaa Ahmad Rashid baada ya kumaliza kumuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateua hivi karibu.

  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman,wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki,katika hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa Serikali wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kuwapishwa Viongozi aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Asaa Ahmad Rashid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Bw. Asaa Ahmad Rashid baada ya kumaliza kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Itumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman,wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki,wakati wa kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni,iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WATEULE Bw. Abdalla Mzee Abdalla na (kulia kwake) Bw.Asaa Ahmad Rashid wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kushika nafasi walizoteuliwa hivi karibuni

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ashiriki mazishi ya marehemu Mzee Msuru Muhidini.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akiagana na Waislamu na Wananchi baada ya kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini na pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani katika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Marehemu atazikwa kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipofika Msikiti wa Muembemimba Wila ya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi,kushiriki kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akijumuika na Viongozi na Waislamu kuitikia dua iliyoombwa baada ya kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani,katika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akijumuika na Viongozi na Waislamu kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani Swala iliongozwa na Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Hassan Othman Ngwali(mbele)katika Msikiti wa Muembe Mimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,Marehemu atazikwa kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Kamati ya Zanzibar Marathon Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa treksuit na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya JustFit Ndg.Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na Balozi wa Zanzibar International Marathon Bi. Salama Jabir kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa treksuit na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya JustFit Ndg. Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzoyao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Kamati ya Zanzibar Marathon ikiongozwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa,walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Marathon, yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya Just Fit Ndg. Jabir Ali Jabir, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.