Maadhimisho ya Tatu ya wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar.
23 Jun 2021
297
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akifuatanana Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Kichama Twalib Ali Twalib mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni
Jijini Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Zanzibar hafla iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo.
Viongozi na Maafisa mbali mbali katika Idara za Wizara za Serikari wakisikiliza kwa makini Mada mbali mbali zilizotolewa katika
sherehe ya maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake kwa Viongozi wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa (kulia) Katibu Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji wakisimama kwa pamoja wakati wimbo wa Taifa
katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake kwa Viongozi wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Maalum ya Heshima
kwa Mchanga wake Mkubwa katika kuimarisha Nizamu, Uwajibikaji na Uadilifu
katika Utumishi wa Umma na Utawalabora Zanzibar kutoka kwa Waziri wa
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika ukumbi Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na waalikwa wakisikiliza Mada mbali mbali zilizotolewa katika sherehe ya maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa
Umma Zanzibar hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani),
VIONGOZI mbali mbali na waalikwa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh drisaa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Kikao Cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
19 Jun 2021
298
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 19-6-2021. na (kulia kwake)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi akisoma ajenda ya Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma
Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika leo 19-6-2021.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kilichoongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein,. katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Zanzibar.
19 Jun 2021
252
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter. Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki
Mhe.Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi kwa mazungumzo na wageni
wake katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa
Jumuiyaya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la
Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashari ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Masharik Dr. Peter Mutuku Mathuki, Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli na Jaji Nestor Kayobera walipofika
Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa
Jumuiyaya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la
Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki waliokaa (kushoto kwake)Jaji Nestor Kayobera na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soroga na (kulia kwake) Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Unguja Ukuu Kae Pwani Masjid Nour katika Sala ya Ijumaa
18 Jun 2021
303
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Msjid
hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ramadhan Rajab Mtoro,(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.
MJUMBE wa Kamati ya Ujenzi wa Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Sheikh.Ramadhani Rajab Mtoro akizungumza na kutowa maelezo ya ujenzi wa Masjid Nour baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti huo
WANANCHI wa Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid
Nour Unguja Ukuu Kae Pwani
WANANCHI wa Unguja Ukuu Wilaya ya Kati
Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani)
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid
Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa salamu kwa Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja.
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalib Ali Mfaume akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Unguja Ukuu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 18-6-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa salamu kwa Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa ShirikisholLa Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania.
16 Jun 2021
304
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 16/6/2021, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri
ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regine Hess, alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Regine Hess, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.