State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani nchini Tanzania Ikulu Zanzibir.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela Mengestu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afri Duniani Nchini Tanzania (WHO) Dr.Tigest Ketsela Mengestu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 3/6/2021 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ofisa wa WHO Zanzibar Dr.Ghirmay Redae Andemichael.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afri Duniani Nchini Tanzania (WHO) Dr.Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 3/6/2021 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ofisa wa WHO Zanzibar Dr.Ghirmay Redae Andemichael.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr.Tigest Ketsela Mengestu (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais)Afisa wa WHO Zanzibar Dr. Ghirmay Redae Andemichael,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Uongozi wa ZSSF

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF alipokutanana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)alipokuwaakizungumza na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF alipokutanana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed said (kushoto) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Uongozi wa Mfuko ya Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Zanzibar