State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Dini Zanzibar Ikulu .

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza mazungumzo na Viongozi wa Dini mbalimbali Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini mbalimbali Zanziubar wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) waipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.9-6-2021
  • KATIBU wa Umoja wa Dini Mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D Kaganga akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ujumbe huo wa Viongozi wa Dini ukiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Dini mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D.Kaganga, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, Katibu wa Mufti.Sheikh. Khalid Ali Mfaume na Fr.Damas Mfoi wa Kanisha Katoliki Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini mbal imbali Zanziubar wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) waipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.9-6-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Dini mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D.Kaganga, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Katibu wa Mufti.Sheikh. Khalid Ali Mfaume na Fr.Damas Mfoi wa Kanisha Katoliki Zanzibar
  • KATIBU wa Umoja wa Dini Mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D Kaganga akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ujumbe huo wa Viongozi wa Dini ukiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar. Sheikh Saleh Omar Kabi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Timu ya Small Simba Sport Club Ikulu .

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Small Simba Sport Club Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir,akizungumza na kuwasilisha salamu zao klabu yao,wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Klabu ya Small Simba Sport Club mchezaji wa zamani wa timu hiyo Khamis Suleiman Mpemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya Kikosi cha Timu ya Small Simba Sport Club na Mtendaji Mkuu wa Timu hiyo Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir baada ya kumaliza mazungomzo yake na Uongozi wa timu hiyo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Timu ya Small Simba Sport Club, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi wa timu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mpango kazi wa Mradi wa Kituo cha michezo cha kilabu ya Small Simba Sport Club Zanzibar na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Timu ya Small Simba Sport Club, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi ya Kilabu ya Small Simba Sport Club Zanzibar na Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa timu hiyo ulipofika Ikulu kwa mazungumzo leo 8-6-2021.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembela Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi na Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Nahoza

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumjulia hali leo 5/6/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi   amejumuika na wananchi wa Kijiji cha Bwejuu Katika sala ya Ijumaa Masjid Jamaa

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja na 9kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Rashid Makame Shamsi
  • WAZEE wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bwejuu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu. Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja kujumuika na Wananchi wa Bwejuu katika Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 5/6/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu. Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Mwinyi Khatibu iliofanyika kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitabasamu wakati akikabidhiwa mkoba maalum ukiwa na ujumbe wa maneno ”Wanawake Waha Haki ya Kuongoza” na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou na (kushoto kwa Rais)Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou, wakati akimkabidhiwa mkoba ukiwa na ujumbe wa maneno “Wanawake Wana Haki ya Kuongoza”,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Tanzania Bi.Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar