State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Ikulu Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021
 • RAIS wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021

Rais wa Zanzibar akizungumza na Uongozi wa Istiqama Charitable Organization.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum (wa tatu kushoto) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kusalimiana

Balozi mdogo wa Msumbiji amejitambulisha kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi Karibuni.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Khamis Kona Khamis kuwa Mkurugenzi wa Uchauzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt. Fatma Marisho kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii, Wazee,Jinsia na Watoto, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt. Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu, anayeshuhulikia masuala ya (Uchumi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazina Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.