State House Blog

Mkutano wa Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo Zanzibar

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kikristo alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar kwa ajili ya Mkutano wa Viongozi hao.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiteta na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kikristo kabla ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika katika Ofisi ya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
 • Baadhi ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
 • Baadhi ya Masister na Viongozi wengine wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo ni miongoni mwa washiriki wa mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
 • Baadhi ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakifurahia hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Mjada wa Uwekezaji wa Big Breakfast Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mjadala kuhusiana na Fursa ya Uwekezaji Zanzibar, ikiwasilishwa Mada hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Zanzibar Ndg. Sharif Ali Sharif (hayupo pichani) na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mjadala kuhusiana na Fursa ya Uwekezaji Zanzibar, ikiwasilishwa Mada hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Zanzibar Ndg. Sharif Ali Sharif (hayupo pichani) na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Zanzibar.
 • WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • MKURUGENZI Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif akitowa Mada kuhusiana na Fursa za Uwekezaji Zanzibar wakati wa Mjadala wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na (kulia) Bi, Victoria Kamazima na (kushoto) Ndg. Masoud Salim.
 • WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
 • MTANGAZAJI wa Kituo cha TV cha Clouds 360 Paul James akiongoza Mada ya kwanza kuzungumzia Fursa ya Uwekezaji Zanzibar, katika Mjadala wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kushoto) Watoa Mada Bi. Victoria Kamazima Wakali wa Kijitegemea, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif na Ndg. Masoud Salim Wakili wa Kijitegemea.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wadau wa Uwekezaji Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum ya Kuhamasisha Uwekezaji Zanzibar Namba Moja, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha udhamini Meneja Uhusiano Bima Benki ya CRDB –Zanzibar Bi. Hamida Juma, wakati wa hafla ya ufunduzi wa mkutano wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wadau wa Uwekezaji Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar .

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali kutoka Soko la Kibandamaiti Bi.Hawa, alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamalin Wadogo, wakati wa uzinduzi wa Vitambulisho vya Biashara kwa Wajasiamali Wadogo wa Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajun Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bi.Amina Said Mdoe, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe .Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitambulisha chake na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Suleiman Mbarouk Mohammed, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba Bi.Fatma Khamis Juma, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Rais Wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Ulinzi Dk.Stergomena Tax Ikulu Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Dk. Stergomena Tax, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Waziri) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Dkt. Faraj Mnyepe
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais)alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa benchi ya 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuwaaga imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wa kwanza Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng,wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Visiwa vya Unguja na Pemba Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Benchi la 30 kutoka China Dr.Wang Yiming,baada kumaliza muda wao wa mwaka mmkoja kutokwa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.