State House Blog

Rais wa Zanzibar Dkt.Hussin Ali Mwinyi ameondoka nchini Burundi.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Maafisa mbali mbali wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiagana na Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakati akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya nchi hiyo akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman.

Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Jaji Mkuu wa Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kulia)kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla uteuzi alikaimu nafasi hiyo.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Said Hassdan Said (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mwanasheria Mkuu Awamu ya 7 Uongozi uliopita.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Salma Ali Hassan (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mkurugenzi Mashtaka Zanzibar .
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Mohamed Ali Mohamed (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibarkabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu.
 • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Viongozi wengine ni miongoni mwa Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Baadhi ya Wageni walioalikwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Kongamano la utatu wa Mahakama.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar, (kutoka kulia) Jaji wa Mahkama ya haki Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba ,Sheri,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mhe,Haroun Ali Suleiman na Jaji Mkuu Mteule Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar, (kutoka kulia) Jaji wa Mahkama ya haki Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheri,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mhe,Haroun Ali Suleiman na Jaji Mkuu Mteule Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla.
 • Jaji wa Mahkama ya haki Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera alipokuwa akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Kufunguwa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • Baadhi ya Washiriki katika Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitoa hutuba yake ya Ufunguzi aliyoitoa leo kwa washiriki hao katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • Jaji wa Mahkama ya haki Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera alipokuwa akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Kufunguwa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • Baadhi ya Washiriki katika Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,wakisikiliza kwa makini hotuba ya Ufunguzi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Jaji wa Mahkama ya haki wa za Binadamu Jaji Imani D. Daudi (katikati) wakati alipowasili katika Viwanja vya Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar Kufungua Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Jaji wa Mahkama ya haki wa za Binadamu Jaji Imani D. Daudi (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine wakielekea katika Ukumbi wa Mikutano katika Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar Kufungua Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika.

Utiaji wa saini yaa Makubaliano Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar,wanaotia saini (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.Juma Malik Akili na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Nd,Hamad Bin Kurdous Al-Amry (kushoto).
 • Baadhi ya Viongozi wakipongeza baada ya kushuhudia utiaji saini wa Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar, ambapo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishuhudia saini hiyo.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisimama na Baadhi ya ya Ujumbe wa Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE) wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa wakati wa hafla ya utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi hiyo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Mawaziri na Baadhi wa Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi ni miongoni mwa walioshuhudia utiaji saini wa Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE),ambapo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishuhudia saini hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE) hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar,wanaotia saini (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.Juma Malik Akili na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Nd,Hamad Bin Kurdous Al-Amry (kushoto).

Mazoezi ya Viungo kila Jumamosi ya Mwisho wa mwezi

 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa hutuba yake baada ya kumalizika kwa Mazoezi ya kutembea yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kushirikiana na wananchi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mke wa Waziri Kiongozi Mstaafu Mama Asha Shamsi Nahodha.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiagana na Mke wa Makamo wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Othman baada ya kumalizika kwa mazoezi ya Viungo yaliyoshirikisha Vikundi mbali mbali vya mazoezi yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa hutuba yake baada ya kumalizika kwa Mazoezi ya kutembea yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kushirikiana na wananchi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mke wa Waziri Kiongozi Mstaafu Mama Asha Shamsi Nahodha.
 • Vikundi mbali mbali vya mazoezi wakifanya mazoezi ya Kunyoosha Viungo baada ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kuongoza Mazoezi hayo leo yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushirikiana na wananchi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akishiriki katika mazoezi ya Viungo baada ya Mazoezi ya kutembea yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kushirikiana na wananchi (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akishiriki katika mazoezi ya Viungo baada ya Mazoezi ya kutembea yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kushirikiana na wananchi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mke wa Waziri Kiongozi Mstaafu Mama Asha Shamsi Nahodha.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiongoza mazoezi ya kutembea ya liyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni ahadi yake ya kushirikiana na Wananchi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiongoza mazoezi ya kutembea ya liyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni ahadi yake ya kushirikiana na Wananchi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.