State House Blog

Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa pongezi zake kwa Rais na (kulia kwa Askofu) Rev. Dikson Kaganga, Askofu wa Jimbo la Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali (kulia kwa Rais) akiwa na Askofu wa Jimbo la Zanzibar Rev.Dikson D.Kaganga, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God. Dr.Barnanas Weston Mtokambali, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza hafla hiyo imefanyika leo 11/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu