Dk.Shein amefungua majengo ya Skuli za Sekondari tisa za Unguja na Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akikata uteke kuashiria kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari Zanzibar zilizojengwa Unguja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe. Zuberi Ali Maulid.
MUONEKANO wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax ni shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi wa Skuli ya Kiembe samaki.Ndg Issa Masoud akitowa maelezo, wakati Rais wakati akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli hiyo ya Sekondari, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi Issa, wakati akitembelea darasa la Komputa katika Skuli hiyo baada ya kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kuadshimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa nin shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar(Picha na IKULU)
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Eng. Dkt.Idrisa Muslim Hija akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Skuli Tisa za Sekondari Unguja na Pemba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli hizo uliofanywa kwa niaba ufunguzi huo umefanyika katika mmoja ya Skuli hizo ilioko Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli Tisa za Sekondari zilizojengwa Unguja na Pemba.
BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani)
VIJANA uhamasishaji wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli Tisa mpya za Sekondari zilixzojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.