State House Blog

Maadhimisho ya isku ya Wauguzi Dunian

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wauguzi katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wauguzi katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea risala ya Wauguzi kutoka kwa Muuguzi Ndg,Saida Kheir Hamad katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Waguzi wakila kiapo cha Utii katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (wa pili kushoto)Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kulia) alipohudhuria katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (wa pili kushoto)Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea Maandamano ya wauguzi katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika viwanja vya Ukumbi Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • Baadhi ya waunguzi wakiwa katika maandamano na mabango yanayotoa ujumbe mbali mbali katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya Ukumbi Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.