State House Blog

MAZIKO YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KUSINI UNGUJA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid wakitoka kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Kijiji cha Paje .
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa pamoja na Viongozi wengine leo alipowasili Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kushiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Marehemu Mgana Zidi Khamis
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wan ne kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumswalia Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini katika Msikiti Mkuu wa Kijiji hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi( katikati) akitia udongo kuzika mwili wa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja huko kijijini kwao Paje
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid alipofika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Paje akishiriki maziko ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kijijini Paje
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kushoto) alipofika Kijiji cha Paje Nyumbani kwa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid (kushoto kwa Rais )Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.