State House Blog

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki Uchaguzi wa CCM wa Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama tarehe 2-10-2022.