State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea na kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa ya Lumumba mjini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, linalojengwa katika eneo la viwanja vya Lumumba Wilaya ya Mjini leo 19-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini, kujionea maendeleo ya ujenzi huo wakati wa ziara yake leo 19-11-2022, akipata maelezo ya ujenzi kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru.(kulia kwa Rais)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kwa Mshauri elekezi wa kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jengo la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati wa ziara yake leo 19-11-2022, kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.Mhe. Rashid Simai Msaraka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jengo la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati wa ziara yake leo 19-11-2022, kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.Mhe. Rashid Simai Msaraka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi huo
  • MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, likiendelea na ujenzi wake katika hatua za mwisho za ujenzi huo