State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar .

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali kutoka Soko la Kibandamaiti Bi.Hawa, alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamalin Wadogo, wakati wa uzinduzi wa Vitambulisho vya Biashara kwa Wajasiamali Wadogo wa Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajun Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bi.Amina Said Mdoe, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe .Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitambulisha chake na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Suleiman Mbarouk Mohammed, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba Bi.Fatma Khamis Juma, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.