State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Mafunzo kwa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya SADCOPAC katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar 17-4-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024.
  • BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Kamati mbalimbali za Bunge wakifuatila hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo pamoja na ufanyajikazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akifungua na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • BAADHI ya Makatibu Wakuu wa SMZ wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024