State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua mkutano wa tatu wa Kituo cha ZRCP katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Utafiti wa Wazalishaji Wanaoibuka Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) Prof Mohammed Hafidh Khalfan, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti Masuala ya Kijamii Zanzibar (ZRCP) uliyofanyika leo 17-9-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Tatu wa pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Tatu wa pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,kulia kwa Mheshimiwa Rais wakielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar, kwa ajili ya ufungua wa Mkutano wa Tatu wa Pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP).