State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Brandi Mpya ya The Mora Zanzibar Matemwe.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na (kushoto) Muwekezaji wa Mradi huo Bw. Sebastian Ebel na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Mhe.Shariff Ali Shariff wakipiga makofi baada ya kuzindua kwa Brandi Mpya ya The Mora uliyofanyika leo 12-6-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar 12-6-2024 katika Hoteli The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid uzinduzi huo uliyofanyika
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Brandi mpya ya The Mora uliofanyika 12-6-2024 Zanzibar na (kushoto kwa Mkuu wa Mkoa) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji wa Mradi wa Hoteli ya The Mora Sebastian Ebel,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Brandi mpya ya The Mora uliofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
 • WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora uzinduzi huo uliyofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja

 • WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024

 • WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024
 • WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024