State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk,Hussein Mwinyi amefungua mkutano 7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022”.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum kutoka Serikali ya Seychelles akikabidhiwa na Rais Mstaaf wa Seyshelles Mhe.Danny Faure, wakati wa ufungfuzi wa mkutano wa “7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya mfano wa Samaki na Balozi wa Heshima wa Seychelles Nchini Tanzania Mhe.MaryVonne Pool, baada ya kuufungua wa mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian &Investment; Summit Zanzibar 2022”, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembe samaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian &Investment; Summit Zanzibar 2022” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022.

  • WASHIRIKI wa Mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022