State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan wakati uzinduzi na mapokezi ya ndege

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na mama Mariyam Mwinyi wakiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya ATCL aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 20-8-2024 na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi.aliyoongoza ndege hiyo kutoka Nchini Marekani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi, baada ya kuipokea ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi, baada ya kuipokea ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya ATCL aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 20-8-2024 na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi.aliyoongoza ndege hiyo kutoka Nchini Marekani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
  • Mke wa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariyam Mwinyi akiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya ATCL aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 20-8-2024 na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi.aliyoongoza ndege hiyo kutoka Nchini Marekani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha Marubani cha Ndege Mpya ya ATCL aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 20-8-2024 na kupata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi.aliyoongoza ndege hiyo kutoka Nchini Marekani, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
  • NGEGE Mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, ikitokea Nchini Marekani ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa maji na gari za Zimamoto kiwanjani hapo leo 20-8-2024, wakati ikiwasili
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika ndege Mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner wakipata maelezo kutoka kwa Rubani Raymond Musingi, baada ya kuipokea ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • NGEGE Mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, ikitokea Nchini Marekani ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa maji na gari za Zimamoto kiwanjani hapo leo 20-8-2024, wakati ikiwasili
  • NGEGE Mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikitokea Nchini Marekani ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa maji na gari za Zimamoto kiwanjani hapo leo 20-8-2024, wakati ikiwasili