Uwekaji wa Jiwe la msingi maegesho ya magari,Malindi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Zanzibar Komodore Azanna Hassan Msingiri pamoja na Viongozi wengine wakifuatana mara baada ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari ,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ili kuzungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa Akitoa hutuba yake kwa Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed, Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Ndg.Saidi Salim Hamadi, Maneja Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari Mtaa wa Malindi Wilaya ya Mjini katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi huo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia ratiba ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Ali.S.Ameir (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg.Aboud Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa taarifa ya Kitaalam leo katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr Mhgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati akiwasili Viwanja vya Malindi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa maegesho ya magari leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Ali S. Ameir wakifungua pazia kwa pamoja kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Maradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari, Malindi Wilaya ya Mjini leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar