SMZ kushusha Bei za kuunganisha Umeme Majumbani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendeleza miradi mbalimbali ya kimkakati katika sekta ya nishati kwa lengo la kuifanya…

Read More

Tutaendelea kuwawezesha Wafanyabiashara na Wajasiriamali.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imejipanga…

Read More

Serikali itaendelea kuwasaidia wavuvi, wachuuzi na wajasiriamali ili kuongeza kipato chao

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea…

Read More

Dkt.Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga masoko makubwa mapya matano ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao katika mazingira bora.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga masoko makubwa mapya matano…

Read More