Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa mfumo wa umeme Zanzibar ul
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa mfumo wa umeme Zanzibar uliofanyika katika Viwanja vya Hoteli ya Verde, Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.