Dk.Shein ameipongeza Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto na kuitaka kuendelea na juhudi…

Read More

Dk.Shein, ameupongeza uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kutekeleza majukumu yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameupongeza uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kutekeleza vyema majukumu yake na kusisitiza…

Read More

Dk.Shein,  ameupongeza uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameupongeza uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kwa kutekeleza vyema majukumu yao na kuutaka kutotumia…

Read More

Upatikanaji wa dawa katika hospitali za Serikali Unguja na Pemba unazidi kuimarika. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameueleza uongozi wa Wizara ya Afya kuwafahamisha wananchi juu ya mikakati iliyowekwa na Serikali katika…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Changwa Lungu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Changwa Lungu kwa kutimiza miaka 53 tokea Taifa…

Read More

Ujio wa meli ya Sultan Qaboos hapa Zanzibar haihusiani na masuala yoyote ya kisiasa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewaeleza wananchi wake kuwa ujio wa meli ya Sultan Qaboos hapa Zanzibar haihusiani na masuala yoyote ya kisiasa bali meli hiyo ilibeba ujumbe wa amani,kukuza…

Read More

Dk.Shein amemuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Kapteni Khamis Simba Khamis kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM).

Read More