UTEUZI
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 4(a) cha Sheria ya Usajili ya Magazeti na Vijarida Namba 5 ya Mwaka1988,
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewapongeza wanafunzi wa Zanzibar waliopata Daraja la kwanza wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita na kuwaeleza…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka nchini Saud Arabia kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa zilizopo…
Read MoreKIKUNDI cha Taarab cha Taifa kimekonga nyoyo za hadhira iliyohudhuria katika hafla ya Chakula maalum cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Oman chini ya uongozi wa Sultan Qaboos bin Said kwa kuendeleza uhusiano na ushirikiano…
Read MoreKwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katibaya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12(3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011,
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa katika kipindi cha hivi karibuni dhamira njema ya kuwapa eka tatu wananchi kwa ajili ya kilimo…
Read More