• Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (king)(kushoto) alipokuwa akifanya uchambuzi wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Wizara ya hiyo,wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein