Dkt.Mwinyi amewaapisha wakuu wa Wilaya wapya aliowateuwa hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika leo tarehe 13 Aprili 2026,…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kuhakikisha mafanikio zaidi yanapatikana katika kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kuhakikisha mafanikio zaidi…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali inathamini na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na taasisi hiyo ya kuwasaidia wananchi katika masuala ya kisheria.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali inathamini na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amewasisitiza Mabalozi kukuza Diplomasia ya Uchumi Kimataifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza mabalozi wanaoenda kuiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka kipaumbele katika…

Read More