Zanzibar kuendeleza Sekta ya Anga na Mageuzi ya Kidijitali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongoz i wa LIAONING FANGDA GROUP OF COMPANIES kutoka China, ukiongozwa na Mwenyekiti wake, Bw.…

Read More

Dkt. Mwinyi amekutana na Uongozi wa Kituo cha ZRCP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameushauri uongozi wa Kituo cha Tafiti za Kiuchumi, Kijamii na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kuandaa mikutano…

Read More

Dkt.Mwinyi amesema SMZ itaendelea kushirikiana na TTCL kuimarisha Mawasiliano Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Ndugu David Nchimbi,…

Read More

Bandari ya Mangapwani itaifanya Zanzibar kuwa Kitovu cha Usafirishaji Afrika Mashariki na Kati.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kukamilika kwa mradi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani kutaongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Zanzibar…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema Bandari ya Mangabwani itafungua fursa mpya za Kiuchumi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaridhishwa na hatua za matayarisho ya ujenzi iliyofikiwa katika mradi wa kimkakati wa Bandari…

Read More