Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo, tarehe 24 Machi 2026, alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tafiti za Kiuchumi, Kijamii na Uchambuzi wa S
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo, tarehe 24 Machi 2026, alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tafiti za Kiuchumi, Kijamii na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP), Ndugu Juma Hassan Reli, pamoja na ujumbe wake waliofika Ikulu, Zanzibar.