Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeweka vipaumbele kwa akina mama na watoto
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa uimarishaji wa afya za wananchi wakiwemo akina mama na watoto ni miongoni mwa vipaumbele vilivyowekwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Read More