Dkt.Mwinyi ameahidi kuimarisha Sekta ya Kilimo na uzalishaji wa mwani Zanzibar

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali…

Read More

Rais Mwinyi ajumuika katika Dua Maalumu ya kuliombea Taifa na Uchaguzi Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Walimu wa Madrasa, Masheikh pamoja na Uongozi wa Afisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar katika…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya Oman na kupongeza uhusiano mwema wa kindugu na kihistoria uliopo baina ya Zanzibar na Oman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya Oman na kupongeza uhusiano mwema wa kindugu na kihistoria uliopo baina ya Zanzibar…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema awamu ijayo itakuwa ni ya Vijana

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kundi…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema SMZ kuendelea kuimarisha Miundombinu ya Uchumi wa Buluu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta ya Uchumi wa Buluu ili kuhakikisha wananchi…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema udumishe Amani,tusikubali siasa za Chuki

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi…

Read More