RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Ndg. Salum Kassim Ali.

RAIS WA ZANZIBAR AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Read More
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania.

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA UJUMBE WA WASHIRIKA WA MAENDELEO SEKTA YA KILIMO TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo na kuwapongeza Washirika wa…

Read More

DK.SHEIN AMEREJEA NCHINI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ina azma ya kuandaa mikakati madhubuti ili kufanikisha dhamira ya kuwa na uchumi endelevu wa bahari…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo Mjini Nairobi, katika ukumbi wa Jengo la Mikutano ya Kenyatta Nairobi baada ya ufunguzi wa Mkutano wa

DK.SHEIN AMEKUTANA NA RAIS WA KENYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alisema kuwa Kenya na Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jumla zina uhusiano wa kihistoria na kindugu ambao ni lazima uimarishwe…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KAIMU MKURUGENZI WA UN ENVIRONMENT

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SEYCHELLES

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Seychelles Mheshimiwa Danny Faure katika ukumbi wa Hoteli ya Intercontinental…

Read More

MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Sheria namba 10 ya mwaka 2017 ya Baraza la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZNBC) kutaimarisha…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya Jamhuri ya Muungano…

Read More