News and Events

Dkt.Shein amemteua Mhe.Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 39(2) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 amemteua Mhe. Balozi…

Read More

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imemtumia salamu za pongezi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein .

Kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Salamu hizo za pongezi zilitumwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Li Yuanchao kwa niaba ya nchi yake, zilipongeza…

Read More

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Bwana Said Hassan Said ameapishwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Said Hassan Said, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Read More

Dkt.Shein amteua Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua tena MHE. SAID…

Read More