Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwanadi wagombea wa Ubunge
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwanadi na kuwaombea Kura kwa wananchi wagombea wa Ubunge,Uwakilishi pamoja na Udiwani wa Wilaya ya Dimani Kichama katika Mkutano wa Jimbo la Pangawe.