Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Ecobank, Ndugu Charles Asiedu wa Kitengo cha Wateja wa Biashara na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Ecobank, Ndugu Charles Asiedu kutoka katika Kitengo cha Wateja wa Biashara na Uwekezaji kutoka Makao Makuu ya Benki hiyo nchini Togo, aliyefuatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Ecobank Tanzania,leo tarehe 15 Aprili 2026, Ikulu Zanzibar.