Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Dkt. Josephine Rogate Kimaro kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar.