Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya wananchi katika kumswalia marehemu Sheikh Omar Bin Ali Qullaten, aliyefariki dunia jana akiw
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya wananchi katika kumswalia marehemu Sheikh Omar Bin Ali Qullaten, aliyefariki dunia jana akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba, Mkoa wa Mjini Magharibi.