Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Dkt Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti mstaafu wa
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti mstaafu wa Zanzibar Dk . Ali Muhammed Shein wakati wa Uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.