Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Baraza la Wazee wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 16
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Baraza la Wazee wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 16 Mei 2026, Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wakati mkutano maalum wa kutoa shukrani baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2026, uliofanyika Ikulu Zanzibar.