Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili na ujumbe wake katika Viwanja vya JS, Chato, Mkoa wa Geita leo tarehe 17 Machi,2026 katika Kumbukizi ya Miaka Mit
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili na ujumbe wake katika Viwanja vya JS, Chato, Mkoa wa Geita leo tarehe 17 Machi,2026 katika Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Hayati Dkt. Magufuli yaliyofanyika Viwanja vya JS, Chato, Mkoa wa Geita.