Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipojumui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Masjid Al- Rahmah Mombasa,Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipojumuika na waislamu katika ibada ya swala ya Ijumaa