Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar