Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Dk. Ali Mohamed Shein Rais Mstaafu wa Zanzibar kabla ya kuanza kwa Dua Maalumu ya Kitaifa ya kuiom
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Dk. Ali Mohamed Shein Rais Mstaafu wa Zanzibar kabla ya kuanza kwa Dua Maalumu ya Kitaifa ya kuiombea nchi amani na ulinzi dhidi ya majanga mbalimbali, iliyofanyika katika Msikiti wa Muembe Shauri, Mkoa wa Mjini Magharibi.