President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
  • Home
  • President's Office
    • Overview
    • Vision & Mission
    • President
    • Past Presidents
  • Administration
    • Revolutionary Council
    • Office of the President
    • Officer Incharge
  • Media
    • News and Events
    • Speeches and Statements
    • Press Releases
    • Photos
    • Videos
    • Videos 2
  • Publications
    • Speeches
    • Action Plans
    • Publications
    • Reports
    • Budgets
  • Blog
  • Contact Us

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji

  • 22 Aug 2023
  • News and Events
  • 138
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

Media

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Dkt. Josephine Rogate Kimaro kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar.
  • Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha viongozi wanne aliowateua hivi karibuni,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Katibu Mkuu wa OACPS, Mhe. Moussa Saleh Batraki na ujumbe wake , waliofika Ikulu Zanzibar.
  • Rais Dkt. Mwinyi ameitaka OACPS kugeuza Maazimio kuwa Programu zinazowanufaisha Wananchi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za usafiri wa umma kwa kutumia mabasi ya umeme pamoja na Kituo c
  • Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kukamilisha kwa haraka ujenzi wa vituo vya kisasa vya mabasi vitakavyotumika katika Mradi wa Mabasi ya Umeme
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mwakilishi mpya wa UN Women nchini Tanzania, Bi. Julia Broussard, aliyefika kujitambulisha rasmi ba
  • Rais Dkt. Mwinyi: SMZ itaendelea kushirikiana na UN Women kuwawezesha Wanawake Zanzibar
  • Rais Dkt. Mwinyi ametoa Salamu za pole kufuatia Kifo cha Amir wa zamani wa Qatar, amesaini Kitabu cha Maombolezo Dar Es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 19 Julai 2026, alipokutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Dkt. S. Jaishankar, katika

Subscribe to RSS Feeds

Get all latest content delivered to your email a few times a month.

  • English
  • Swahili
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

Quick Links

  • Overview
  • Vision & Mission
  • President
  • Past Presidents
  • Revolutionary Council
  • Office of the President
  • Government Security Office (GSO)

Categories

  • Blog
  • News and Events
  • Speeches and Statements
  • Press Releases
  • Photos
  • Videos
  • Useful Links

Useful Links

  • First Vice President Office
  • Second Vice President Office
  • Chief Secretary Zanzibar
  • House of Representatives
  • Zanzibar Investment Promotion Authority
  • Ministry of State, President's Office, Finance and Planning
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

Talk to the President App

© Copyright 2026 - President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

  • Home
  • Privacy Policy
  • Feedback
  • E-Office
  • Webmail