Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha (kulia) Wasaidizi wa Rais