Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa zawadi ya mchoro wa picha na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ufadhili wa Mikopo ya Nyu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa zawadi ya mchoro wa picha na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ufadhili wa Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), ambaye pia ni Mkurugenzi wa Benki ya NBC, Ndugu Theobi Sabi, baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo tarehe 25 Novemba, 2026.