Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, aliyefika kujitambulisha rasmi kufuatia kua
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, aliyefika kujitambulisha rasmi kufuatia kuanza majukumu yake nchini leo tarehe 27 July, 2026.