Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Msemaji wa ZASS, Abuubakar Harith,leo, tarehe 21 Septemba 2026, Ikulu Zanzibar, alipokutana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Msemaji wa ZASS, Abuubakar Harith,leo, tarehe 21 Septemba 2026, Ikulu Zanzibar, alipokutana na uongozi wa Zanzibar Astronomy Space Society (ZASS), unaojihusisha na astronomia na sayansi ya anga Zanzibar.