Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 13 Julai 2026, akiingia katika viwanja vya Maonyesho na kuyafunga rasmi Maonesho ya Kimataifa ya Biashar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 13 Julai 2026, akiingia katika viwanja vya Maonyesho na kuyafunga rasmi Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) ya Jubilei ya Miaka 50, akisisitiza kuwa maonesho hayo yameendelea kuwa jukwaa muhimu la kukuza biashara, uwekezaji, ubunifu, matumizi ya teknolojia na kuimarisha ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi.